maembe kutibu bawasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    KWELI Ulaji wa maembe husaidia kutibu ugonjwa wa Bawasiri

    Nimekutana na hii video jamaa akielezea kuwa ulaji wa maembe na maganda yake ni tiba ya asili ya Bawasiri. Msimu wa maembe ndio huu, kabla sijaenda nunua lumbesa ya maembe naomba kupata uhalisia wa taarifa, upotoshaji wa makusudi wa masuala ya Afya umeshamiri sana.
Back
Top Bottom