Aina za miti ya maembe
Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara.
Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au rangi ya chungwa inapoiva, matunda haya ni ya kiwango cha kati na kubwa, yenye muonekano wa mviringo...