maendeleo kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeamua kuunga mkono Juhudi za Serikali ya CCM katika kuwaletea watanzania maendeleo

    Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua kujiunga na chama Cha mapinduzi. Sababu zilizonifanya Mimi ambaye nilikuwa radical kwenye maswala ya...
  2. D

    Ili nchi yoyote iendelee kiuchumi inapaswa kufanya yafuatayo

    1. Lazima kuwe na uwekezaji strong wa kutoka nje (FDI) na ndani of which mama kafanikiwa sana katika hili tofauti na mtangulizi wake 2. Demokrasia strong ambayo inawawezeah wawekezaji au wafanyafbiashara wakubwa kuwa huru na risks zote ambapo wakihisi mambo kutoenda sawa wana mahala pa...
  3. Mambo ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa tunaweza kujifunza

    Wakuu Salaam, Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji. Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…