Wakuu,
Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo.
Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga korogwe, na moshi kwenda arusha na sababu zilikuwa zinaendelea kwenye mashamba ya biashara, elimu...