Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu.
Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi vizuri sana Tanzania. Ni wakati muafaka, tena tumechelewa sana, kuanzisha zao la bangi kwa faida...
Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa manufaa ya umma. Utawala bora unahusisha uwazi katika maamuzi ya serikali, uhuru wa kujieleza, haki za...
Utangulizi
Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo.
Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko manufaa watakayo yapata kwenye tozo za miamala"
Pamoja na mengi aliyozungumza ni pamoja kwanini serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.