Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.
Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
PART 1
Tutakuwa na muendelezo wa mada mbali mbali inayohusu viongozi walitawala nchi zao na jinsi ya walivyoongoza ili wanasiasa na wataalam waweze kuifata kama ni role model wao- Hii itakuwa kila Ijumaa.
Tuanze na huyu
Khalifa ‘Umar bin Abdul Aziz
Khalifa ‘Umar bin Abdul Aziz, anayejulikana...
TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 KATIKA MAENDELEO YA KIUCHUMI
Tanzania ni nchi yenye uchumi wa kati-chini (middle lower income) kulingana na tafiti na taarifa ya Benki ya dunia ya tarehe 1 julai, 2020, hiyo ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya...
Nitajie nchi moja tu ya Kusini mwa Jangwa la Sahara yenye maendeleo. Hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiocmaana Waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa nchi ya kuuana kikabila chungu nzima.
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.