Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali?
Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.