Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Kukosekana historia ya kupigania taifa leo, imeiacha nchi katika mgawanyiko mkubwa.
Hakuna kitu cha kutuunganisha watanzania kihistoria. Pengine vita ya Kagera ingeweza kutumika kujenga uzalendo wa kuipenda, kuilinda na kutetea uwepo wa haki ili kila mtu afanyapo jambo anakuwa anarejea lengo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Watanzania na wadau wa sekta ya Utamaduni na utalii kuona namna ya kuufanya utamaduni kuwa biashara ili ulete manufaa ya kiuchumi kwa nchi.
Ametoa rai hiyo wakati akihitimisha Tamasha la Tatu la Utamaduni la...
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana!
Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi?
Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani...
Kwa nchi kama India, Korea, na Marekani, sanaa imekuwa ni moja wapo ya kazi inayoongeza uchumi kwa taifa. Kwa mfano, Korea wako vizuri kwa kuonyesha utamaduni wao na hata kuonyesha historia mbalimbali ya nchi yao. Lakini sisi pia tunayo historia mbalimbali kuhusu nchi yetu, mfano jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.