mafaili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nimeunda File Server kwa Shilingi Laki 2, Njia Rahisi ya Kuhifadhi na Kuhamisha Mafaili

    1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi ) 2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF) Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ? Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
  2. Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  3. R

    Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

    Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
  4. M

    Ukigeuka mshauri kwenye mahusiano yako jua upo unalazimisha afanane na unayemtaka, tayari umechanganya mafaili

    Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka. Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi kwenye machaguo, aliyekosea vigezo baadhi huyu ni rahisi kujifunza kuvumilia ila kwa aliyekosea sana...
  5. Aliyemuelewa kamanda muriro hapa mimi kwangu naona kama anachanganya mafaili

    https://www.youtube.com/watch?v=uqQyTKITO4M
  6. G

    JF imenitoa ushamba, miaka mitano natumia external kucopy mafaili speed niliyozoea MB 16 kwa sekunde kumbe natumia teknolojia za zamani

    Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo nikagundua na mimi nimefanywa dampo la wafanyabiashara kujipigia pesa kwa kuuza vitu vilivyopitwa na...
  7. Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  8. IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  9. DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

    Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
  10. Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

    Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama: Bongo flava, Tanzania 2000s Bongo Records Professor Jay Juma Nature Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…