mafanikio katika maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thecoder

    Namna historia ya kwenu inavyoweza kutoa picha ya hatua unazopaswa kupiga kuelekea kwenye mafanikio yako

    Maisha huwa yako na utangulizi kama ambavyo ilivyo kwenye vitabu mbalimbali, na lengo la utangulizi wa kwenye maisha huwa unamlengo sawa sawa na ule ambao upo au unawekwa kwenye vitabu vya kawaida. Tofauti ya utangulizi wa kwenye vitabu na ule wa kwenye maisha ni kwamba kwenye vitabu huwa kuna...
  2. ndege JOHN

    Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  3. Stability

    Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio?

    Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio? Ni njia gani anayotumia ambayo yeye haitumii ili kufanikiwa au asili ya tiba haimruhusu kujiganga? Mshana Jr LIKUD Nikifa MkeWangu Asiolewe na wengine wengi karibuni
Back
Top Bottom