mafanikio kwenye biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr-Njombe

    Je, unajua kwanini hufanikiwi?

    Mu hali gani! Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha. Lakini asilimiakubwa ya watu hushindwa kufanikiwa kwasababu zifuatazo;- Kwanza Kutojiwekea malengo au kupoteza focus ya...
  2. Kazanazo

    Imechukua muda gani kutoboa katika biashara yako? Umejifunza nini?

    Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo sijakata tamaa ila changamoto ni nyingi sana ikiwemo madeni na mtaji kiduchu bado napambana. Je, wewe...
Back
Top Bottom