"Wakuu habari.
Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Mu hali gani!
Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha.
Lakini asilimiakubwa ya watu hushindwa kufanikiwa kwasababu zifuatazo;-
Kwanza
Kutojiwekea malengo au kupoteza focus ya...
UNA MIAKA 30? HII INAKUHUSU
Kwanza jua una miongo mitatu ( mafungu matatu ya miaka kumi kumi).
MUONGO WA KWANZA ( 0-10)
1. Hapa ulikuwa mtoto
2. Mwanzo wa shule ( kwa walioenda shule)
3. Hapa uliathiriwa sana na malezi ya walezi wako.
4. Ulitegemea kwa 100%.
MUONGO WA PILI ( 11-20)
1. Uliaga...
Kwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu.
Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu.
Kama umekosea kitu. Anza upya usiogope.
Kama una kipaji cha kusuka anza kusuka. Kama una kipaji cha kuimba imba...
Habari,
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Umri umefika tumejikuta tuna wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.