mafao

  1. Intelligence Justice

    Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  2. S

    Kwa mafao haya manono ya wabunge ukilinganisha na ya watumishi wa umma, tukisema wabunge ni wabinfsi tunakosea?

    MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA. Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge...
  3. Jumanne Mwita

    Habari ya kusikitisha: Gari la ‘mafao’ lilivyokatisha uhai wa mwalimu mstaafu na mwanawe

    Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake. Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
  4. K

    Babu yangu alipambana vita ya iddi amini Uganda, alichukuliwa kama mgambo ila mpaka amefariki Dunia hajapewa mafao Yake

    Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
  5. Wakusoma 12

    Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  6. kindikinyer leborosier

    Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  7. M

    NSSF ITURUHUSU TULIOAJIRIWA SERIKALINI KUCHUKUA MAFAO YETU NSSF TULIOJIWEKEA WAKATI TUKIFANYA KAZI PRIVATE

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
  8. Roving Journalist

    Waziri Kabudi: Tutazungumza na NSSF kuhusu hatma ya mafao ya uzeeni ya Waandishi wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka. Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
  9. Friedrich Nietzsche

    mwajiri wangu hataki kunisainia form za MAFAO ni fanyaje??

    Namm hela nazihitaji?
  10. Roving Journalist

    Waziri Kikwete: PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza. Kikwete ametangaza...
  11. G

    Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
  12. Mstaarabu Tz

    Nifanye nini nipate mafao yangu baada ya mwajiri kutonipa barua ya kusitisha ajira yangu?

    Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
  13. mdukuzi

    Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  14. M

    Mafao kwa viongozi baada ya kustaafu

    Moja kwa moja kwenye mada: Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine. Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...
  15. J

    NSSF wabadili sheria yao ya kutoa mafao

    Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu? Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa...
  16. Kingsmann

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  17. mjingamimi

    SoC04 Usumbufu wa NSSF katika kudai mafao

    Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums? Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini. Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi. Ukishajua michango...
  18. Mjanja M1

    Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

  19. Morning_star

    TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  20. Roving Journalist

    Orodha ya Dawa zilizoongezwa katika Kitita cha Mafao cha NHIF

    Kufuatia mapitio yaliyofanywa na Wizara ya Afya kwenye Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (NEMLIT) kwa kujumuisha muunganiko, muundo na nguvu kwa dawa 178, NHIF imejumuisha dawa hizo kwenye Kitita chake cha Mafao cha Mwaka 2023. Hatua hii inaongeza wigo wa aina za dawa zenye muundo, nguvu na...
Back
Top Bottom