Mimi ni mtoto wa mmoja wa Wazee Wastaafu wa Kiwanda cha Maturubai (CANVAS) mkoani Morogoro ambao wamekuwa wakidai fidia zao kwa zaidi ya miaka 25 sasa bila mafanikio yoyote huku ikisemekana kwamba Hazina ndio kikwazo kikubwa katika mchakato huu.
Nimelazimika kuandika huku Jamii Forums baada ya...
Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape, Kairuki, Oddo Ummi na Makamba Jr wakitumbuliwa.
Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka fungu gani katika bajeti?
BUNGE limeambiwa kuwa Serikali inavunja sheria kulinda makosa yake ya kupoka mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Hayo yameelezwa leo bungeni Dodoma na Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa wiki iliyopita na Waziri wa...
Hapa tunarudi nyuma kidogo kabla ya kuanza kutumika kikokotoo cha Asilimia 33% kwenye kiinua mgongo na asilimia 67% kwenye pensheni ya kila mwezi, kulikuwa na mifuko 5 ambayo kila mfuko ulikuwa na Formula yake kwenye ukokotoaji mafao ya uzee ambapo :-
1. LAPF na PSPF ilikuwa ni asilimia 50%...
Mimi nilikuwa mtumishi wa Halmashauri na nilistaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha miaka 60.
Nilipofuatilia mafao yangu hawa wajamaa wakagoma kunilipa wakitoa sababu kuwa mpaka michango yote ambayo Halmashauri ilitakiwa inichangie zichangwe kwanza na Halmashauri husika kwenda PSSF...
Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata.
Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona.
Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...
Hakika inasikitisha sana kuona Serikali inayojinasibu kuwa ni serikali inayowajali wananchi waje wakati wapo wastaafu wana miaka 4 hawajalipwa mafao yao
Kuna mzee wangu alistaafu julai 2018 lakini mpaka leo mfuko wa PSSSF umeshindwa kumlipa mafao yake mwaka 2020 mzee aliambiwa mafao yake...
Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba?
Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa.
Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.