Wakuu
Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira
1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.
Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge...
Muktasari:
Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake.
Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
Hii inaniuma sana
Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe..
Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache
Uuzi tayari
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
Habari ndugu zangu,
Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu.
1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka.
Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza.
Kikwete ametangaza...
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.
Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
Moja kwa moja kwenye mada:
Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine.
Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa...
MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT
Utangulizi,
Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums?
Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini.
Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi.
Ukishajua michango...
Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
Kufuatia mapitio yaliyofanywa na Wizara ya Afya kwenye Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (NEMLIT) kwa kujumuisha muunganiko, muundo na nguvu kwa dawa 178, NHIF imejumuisha dawa hizo kwenye Kitita chake cha Mafao cha Mwaka 2023.
Hatua hii inaongeza wigo wa aina za dawa zenye muundo, nguvu na...