Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara.
Akizungumza na Mwananchi mmiliki na shuhuda, Mohamed Migila amesema kuwa moto huo ulianza kuwaka...