Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori kugongana na Bajaj katika eneo la Kinyanambo- Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dk Victor Msafiri amesema ajali hiyo ilitokea jana usiku.
Dk Msafiri amesema walipokea miili ya wanaume wawili, mwanamke...