mafumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikola24

    Tujifunze kutoka Katika picha hizi zenye mafumbo

    Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia. Picha ya pili hapa...
  2. Chachu Ombara

    Tafsiri ya kibonzo cha Kipanya kuhusu CHADEMA na mchoro wa pundamilia usiokwisha

    Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
  3. W

    Wataalam wa Mafumbo nina swali lenu hapa

    Nilipokuwa na umri wa miaka 6, Mdogo wangu alikuwa na nusu ya umri wangu. Sasa hivi nina miaka 70, mdogo wangu ana umri gani? =====For English Audience===== When I was 6, My sister was half my age Now I'm 70 How old's my sister ?
  4. Black Butterfly

    Wataalamu wa mafumbo ya Kiingereza njooni hapa

    "What has 4 letters, Sometimes has 9 but Never has 5.?" Leteni majibu hapa!
Back
Top Bottom