Tuanze na hii.
Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini.
Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia.
Picha ya pili hapa...
Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
Nilipokuwa na umri wa miaka 6, Mdogo wangu alikuwa na nusu ya umri wangu.
Sasa hivi nina miaka 70, mdogo wangu ana umri gani?
=====For English Audience=====
When I was 6,
My sister was half my age
Now I'm 70
How old's my sister ?