mafundi simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Msiba wa dada yake mzazi wamponza mchajisha simu Kinondoni ala kisago cha mbwa mwizi.

    Imetokea Jana Kinondoni. Picha linaanza wiki moja iliyo pita jamaa alienda kuweka simu zake mbili ( Smart phones) kwenye kibanda cha mchajisha simu, kisha akaenda zake pale Garden ( Mkwajuni) kutazama ndondo. Simu alizipeleka saa Tisa, anacheki mechi ya ndondo inaisha anapita Masjid kisha...
Back
Top Bottom