Habarini za wakati huu wadau...
Tupo katika dunia au kizazi cha teknolojia na mapinduzi makubwa katika nyanja zote ambazo zinahusu teknolojia na ujuzi, lakini haina maana kwamba waliopita waliishi katika dunia au kizazi cha giza kama ambayo tunaambiwa.
Ukitizama majengo ambayo yalijengwa...