Wakuu
Nimeona taarifa katibu tawala mmoja amehitimu mafunzo ya ugambo (Jeshi la akiba) hii ina maana gani?
===
Askari Wapya 178 wa Jeshi la akiba wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wamehitimu mafunzo ya Jeshi la akiba akiwemo Katibu tawala wa wilaya ya Kahama Glory Absalum,ambayo...