Habari zenu ndug wana JamiiForums,
Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi kijana mjasiliamali ninaye jiusisha huduma uuzaji wa vifalanga vya kuku wa kienyeji na chotara wa mwezi mmoja na vilivyo na chanjo pia ninatoa mafunzo kwenye vikundi, taasis, mtu binafsi juu ya ufugaji kibiashara hasa...