mafunzo ya kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Polisi 1,800 wa DRC wadaiwa kujiunga na M23 wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao

    Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao. Reuters imeripoti jana kuwa askari hao waliovalia sare za kijeshi za rangi ya bluu walionekana wakiimba...
  2. I

    Hii imekaaje hadi Marekani na Russia washiriki kwenye haya mazoezi ya kijeshi?

    Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji za Marekani na Russia wafanya mazoezi Pamoja; Uchina, Mataifa ya QUAD Pia Yajiunga na Komodo 2025. Kwa upande wa matukio ambayo yanapinga mivutano na ushindani wa hivi majuzi, vikosi vya jeshi la majini la Russia, China, Marekani, India, Australia na...
Back
Top Bottom