mafunzo ya maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hili ni jambo la kijinga na dhambi niliyowahi fanya ambayo naijutia sana

    Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo...
  2. Nakumbuka jinsi nilivyowanusuru wasaidizi wetu dhidi ya kifo

    Hello how are you all!!!!! Leo nimekumbuka hiki kisa. Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku. Baba yangu ni mkulima pia wa tumbaku toka kitambo sana. Huwa tuna utaratibu wa kuendea wasaidizi wa kazi...
  3. Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

    Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe. Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima. Kilichoniuma zaidi ni mtu wangu wa karibu sana akalike hiyo comment kama kweli alikuwa ananiona mie kitu cha ajabu kwake si...
  4. Naombeni kitabu kitakachobadilisha mindset yangu

    Wakuu, Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity. Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa...
  5. Maisha na mafunzo muhimu kwa kila mtu

    πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£ Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini. 1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa. 2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako. 3. Dhibiti hisia zako. Akili tulivu inaweza kushughulikia hali yoyote. 4. Ili kuepuka kukatishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…