Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo ambayo yalipelekea vifo vya watu 89.
Nyumba hizo ambazo zimejengwa na Serikali ya Awamu ya Sita...
Japo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali.
Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa...
Tayari baadhi ya nyumba hizo zilizotumia mabilioni ya pesa zimeanza kukamilika, Asante Mama
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amewapongeza SUMA JKT kwa hatua nzuri waliyofikia katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa wananchi waliokumbwa na...
Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara.
Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
Ziara ya Rais Hanang ilitakiwa kuwa very brief, kuangalia madhara yaliyotokea, atoe pole, basi. Nina Imani Rais alishapewa ripoti nzima ya hali ilivyo Hanang na hivyo alikuwa walau na picha ya yaliyojiri, leo ilikuwa kwenda kuwaona waathirika na aongeze nguvu kwa waathirika angalau kuwa sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.