mafuriko mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hali ya mitaa ya Mwanza ilivyo baada ya mvua ya leo Desemba 2, 2024

    Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara. Hii ni mitaa ya Furahisa – Kirumba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…