Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje
Hii ni habari ya september
The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi.
Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski...
Njooni huku Uswahili kwetu mkute Misiba ya Watani zangu Washamba tupu akina Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi ikitokea halafu mtuone Watu wa Mara (Musoma) tunavyoinogesha kiasi kwamba hata Marehemu mwenyewe sometimes huwa anatabasamu Jenezani alipolala.
Misiba...
Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani...
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amesema, Dira ya sasa ilikuwa baada ya mchakato wa miaka mitatu kuanzia mwaka 1997- 99, chini ya uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Na walikuwa wamejiwekea malengo kadhaa. Na tumefanikiwa au hatujafanikiwa?
Mwaka 2000 walisema...
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho.
Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.