Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani.
Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam.
Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote.
Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu.
Source : azam tv
UTANGULIZI
1. Kwanza kabisa, tunawashukuru kwa mwitikio na kufika kwenu kwenye mkutano huu muhimu. Leo tutazungumza masuala ya kitaifa kuhusu Ushiriki wa Watanzania katika Mradi wa Bomba kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania). Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (pamoja na taasisi zake)...
Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu.
Traders let's take advantage from this.
BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP)
✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania. Mradi huu una urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita...
Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10
Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa
Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000
Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
Pipa la mafuta ghafi ya petroli duniani limepanda kwa kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha miaka 3 toka mwaka 2018 hadi kufikia $75 leo 2021 hii ikilinganishwa na $65 mwaka 2018. Inategemewa bei kuendelea kupanda hadi kufikia $85 kwa pipa.
Hii ni habari mbaya kwa uchumi wa mataifa maskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.