mafuta ghafi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  2. Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  3. Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  4. Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  5. B

    Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  6. EWURA: Mahojiano na vyombo vya habari kuhusu Mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)

    UTANGULIZI 1. Kwanza kabisa, tunawashukuru kwa mwitikio na kufika kwenu kwenye mkutano huu muhimu. Leo tutazungumza masuala ya kitaifa kuhusu Ushiriki wa Watanzania katika Mradi wa Bomba kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania). Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (pamoja na taasisi zake)...
  7. L

    Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

    Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
  8. Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)

    BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP) ✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania. Mradi huu una urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita...
  9. Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10 Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000 Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
  10. Bei ya mafuta ghafi ya petroli Julai 2021 yazidi kupaa duniani

    Pipa la mafuta ghafi ya petroli duniani limepanda kwa kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha miaka 3 toka mwaka 2018 hadi kufikia $75 leo 2021 hii ikilinganishwa na $65 mwaka 2018. Inategemewa bei kuendelea kupanda hadi kufikia $85 kwa pipa. Hii ni habari mbaya kwa uchumi wa mataifa maskini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…