Sote tunatambua kuwa EWURA wamezuia mafuta ya petrol na Diesel kuuzwa kwenye madumu. Swali langu kwa wale watu ambao wana mashine zinazojienndesha kwa kutumia hiyo nishati watafanyaje?
Kwa mfano nina trekta liko shamba kilomita kadhaa je kila nitakohitaji mafuta lazima niendeshe Trekta kwenda...