Baada ya maadiliko ya hali ya hewa sisi wakulima kukosa kabisa mazao ya kutosha,hivyo haya machache niliyopata nimeona bora nikamue mafuta niuze.
Hivyo nauza kuanzia lita tano kwa 30,000 tu, mafuta yangu safi na bora kwa matumizi ya binadamu.
Hayana kabisa harufu kama yalivyozoeleka, nipo...