1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia
Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
Kuongezeka kwa biashara ya mafuta ya kupikia kunaweza kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi, lakini kufanya biashara hiyo katika mazingira ya wazi, ni hatari kwa afya ya watumiaji.
Uuzaji wa mafuta ya kupikia kwenye maeneo ya wazi hukaribisha uwezekano wa athari za oksaidi, ambazo zinaweza...
Shirika la Viwango (KEBS) limezitaja aina hizo za mafuta yanayotakiwa kuondolewa madukani haraka kuwa ni Friji Safi na Garlic Oil, Fry Mate, Bahari Fry, Fresh Fri, Gold na Pure Olive Gold, Postman, Rina, Salit, Tilly na Top Fry.
Aina zilizoorodheshwa zinatengenezwa na kampuni za Bidco Africa...
Habari wafanyabiashara! Rejea kwenye kichwa thread.
Kama wewe ni mfanyabiashara wa vyakula kama chips, nyama za kukaanga kama kuku na kitomoto utakuwa umeishanielewa kwa uzuri kuhusu mafuta yalitumika (used cooking oil).
Naanza kununua kuanzia lita 1 kwa sh 700, kama unayo unaweza nichek...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine
Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
Mzuka wanajamvi!
Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua...
Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti.
Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
Wakati wa vita ya pili ya dunia Uingereza ilipatwa na upungufu mkubwa sana wa mafuta ya kula. Wakakaa chini wakaumiza vichwa wafanye nini. Wakakubaliana kulima karanga kwenye koloni lao la Tanganyika. Mipango ikafanywa, eneo linalofaa likatafutwa, wakapata huko Kondoa. Wakanunua matrekta...
Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe
maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki,
sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta...
Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli?
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana.
Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10
Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa
Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000
Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.