Nakumbuka shule niliyosoma tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula,
Katika kudadisi kwa nini watuwekee mafuta hayo niliambiwa kuwa wanatuwekea ili kutufanya tusiwe na hamu au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi ukizingatia wanafunzi wanakuwa wameanza au walishapevuka tayari.
JamiiCheck...
Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana.
Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza.
Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
Wadau, picha yajieleza hapo!! Hofu yangu ni moja na pengine watanzania naomba mnifafanulie. Kukiwa na punguzo la bei ya mafuta ya petroli sokoni bei isishuke bali ibaki kama hapo awali? Kwa tafsri hiyo ni kwamba sheria ikiwekwa kama bei ni 3000tsh kwa lita hata ikishuka sokoni na kustahili kuwa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh. 3,204 na Mtwara Tsh. 3,231 kwa Lita moja ya Mafuta.
Dizeli Dar es Salaam itauzwa kwa Tsh. 3,226...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita.
Tanga, Petroli ni Tsh...
Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo:
(i) Petroli – bei ya soko la...
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu.
Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli.
Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.
Nimeweka mafuta ya taa...
Bei ya mafuta ya taa imeongezeka kwa wastani wa Sh39 kwa mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga mwezi Machi ikilinganishwa na Februari 2023, huku uhaba wa bidhaa hiyo ukitawala.
Katika taarifa ya bei mpya za mafuta iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za...
UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA?
Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere.
Ubishi uko katika bidhaa...
Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole.
Ukweli ni upi?
Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu.
Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955
Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la Kariakoo kwa ajili ya umbali baada ya kuhamia Magomeni Maduka Sita kwa msaada wa Ali Msham aliyekuwa...
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu || Viva Samia Viva
________________________________
Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia mambo wamekuwa wakiilalamikia Serikali ya awamu ya Sita inayoongoza na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.