Kuanzia matatizo ya vidonda vya tumbo, vijana kuwahi kuzeeka, kukosa nguvu za kiume, n.k. kwa kiasi kikubwa inachangiwa na kula vyakula vya kununua
Kuna wafanyabiashara wa vyakula wao ni faida mbele, afya yako haina kipaumbele, wewe utalishwa vibovu wao watajipikia chakula tofauti.
Njia za...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
Elijah Mwangi Muthoga, alikamatwa Desemba 2021 akiwa na lita 11 za mafuta ya transfoma ambayo yalikuwa yakitumika kupika chipsi kwenye Hoteli yake na pia kupakiwa tena ili kuuzwa kama mafuta ya kupikia ya popcorn
Aliuziwa mafuta hayo na Zachary Mwangi Gitau ambaye amehukumiwa kifungo cha Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.