Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:
Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato.
Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi...
Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.
Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na mzee wangu Mohamed Said mnavyo furahia neema hii toka kwa Allah.
Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
Habari za muda huu wakuu,
Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.