Hivi karibuni iliripotiwa taarifa ya zaidi ya Wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, Wilayani Temeke kuathirika kwa kubabuka ngozi, kuumwa macho na wengine kupata changamoto ya mikono katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yanayodaiwa kuwa na sumu.
Ilielezwa kuwa...