mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta

    MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
  2. Mafuta yanapanda bei kwenye soko la dunia

    Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD. Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga la COVID 19. Hii inetokea baada ya OPEC na wazalishaji wengine wa mafuta kupunguza uzalishaji na...
  3. Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  4. Suala la nishati ya mafuta nchini lishakuwa janga la Taifa

    Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta Na hiyo foleni ya...
  5. Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
  6. S

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
  7. K

    Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  8. EWURA: Nchi ina Mafuta ya Kutosha

    Tamko hilo la EWURA linalofafanua kuhusu taarifa yao ya Septemba 4, 2023 linakuja muda mfupi tangu Waziri Mkuu akiri Bungeni kuwa kuna changamoto ya upatikanaji wa Nishati hiyo katika baadhi ya maeneo Nchini. Kupitia taarifa yake kwa Umma, #EWURA imefafanua inaposema akiba ya Mafuta iliyopo...
  9. Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  10. T

    Rafael Mgaya: Mnadanganywa, wafanyabiashara hawafichi mafuta ila uagizaji umepungua kwa 28% tangu January wakati matumizi yamepanda kwa 10%

    Akizungumza kwenye kipindi cha asubuhi katibu wa waagizaji wa mafuta anasema hao wanaosema mafuta yamefichwa hawasemi ukweli. Anasema waliishauri serikali tangu January kwamba iongeze dollar ili kuongeza kiwango cha mafuta kinachoagizwa kutokana na kupanda kwa thamani ya Dola dhidi ya shilingi...
  11. Kwanini Tanzania(TPDC ) wasijenge refinery ya mafuta?

    Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya...
  12. Kwa gesi asilia tuliyonayo, Tanzania si ya kulalamikia mafuta

    Ukweli tuuseme, kwenye hili la Gas, mwendazake aliturudisha nyuma sana kwenda kuifuta mikataba ya utafutaji na uzalishaji Gas. Ni kama Tumeanza upya kipindi hiki. Tanzania kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kuitumia kuzalisha umeme kwa wingi, tunaweza kuitumia na kuibadilisha ikawa nishayti zingine...
  13. Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  14. Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  15. Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  16. EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  17. Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

    Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi. Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi...
  18. Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  19. Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  20. EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…