mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  2. Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  3. Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  4. U

    Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  5. L

    Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
  6. Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

    Naona mambo yanazidi kupamba moto, sukari beii juu mafuta kula bei juu Petrol na diesel bei juu tutafika tumechoka sana.
  7. Mafuta ya kupaka, kindoo hadi pipa zima

    Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam. Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project. Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa mapipa.. Mafuta ninayohitaji ni cosmetic grade. Yale mtu anaweza changanya na viinilishe au dawa...
  8. Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  9. K

    Serikali irejee upya ongezeko la bei ya mafuta

    Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini. Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali...
  10. Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu...
  11. D

    Gharama ya mafuta ni kubwa sana

    Mimi per day na tumia kama 8- 10 litres nakaa mbali kidogo. Kwa siku 8-10 x3199 =26k - 32k. Kwa mwezi ni 770k - 960k. Kwa mwaka ni 9.4 milloni-11.6 million. In short kwa mwaka naweza nunua gari lingine, hapo bado services, fine, insurance, accidents, emergency and etc. Na default this week...
  12. Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

    Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari. === Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika...
  13. Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  14. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

    Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo: (i) Petroli – bei ya soko la...
  15. N

    Ruzuku ya mafuta imefia wapi?

    Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku. Nawasilisha.
  16. Waagiza mafuta wasema bila Dola watashindwa kuagiza mafuta

    Katika kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 4 Agosti...
  17. S

    Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  18. S

    Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  19. Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  20. Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…