Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!
Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.
Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...