Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko.
Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...