"Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta.
Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...