mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Uganda Yazidi Kujifunza Jiolojia Yake Katika Mchakato wa Kuchimba Mafuta

    Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta. Kupitia ushirikiano na kampuni za kimataifa za mafuta na wataalamu wa ndani, serikali ya Uganda...
  2. Macheyeki: Kukabili Utegemezi wa Mafuta, Serikali Iongeze Matumizi ya Gesi

    Changamoto ya upatikanaji wa mafuta na athari za matumizi yake ilipaswa kutumika kama sababu msukumo kwa Serikali kuongeza kasi katika kuhakikka taifa letu kutumika Nishati mbadala ambayo inapatikana nchini. Lakini tunaona kuna changamoto kuu mbili (2) kubwa; moja ni gharama kubwa za mfumo wa...
  3. Macheyeki: Serikali Ichukue Hatua za Madhubuti Kudhibiti Upandaji wa Mafuta Nchini

    Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha unaoishia Juni, 2024 tuliona kuongezeka kwa changamoto ya upatikanaji wa mafuta (uhaba wa mafuta). Tatizo...
  4. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  5. Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  6. Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran

    Oil and gold prices have eased after Iranian authorities appeared to downplay reports of an attack from Israel. Brent crude, the international benchmark, fell after jumping briefly to over $90 a barrel after reports emerged of an attack. Gold briefly came close to a record high before settling...
  7. K

    Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa. Je, Tanzania kulikoni?

    Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na fedha yetu inazidi kushuka. Je, kulikoni? --- The shilling’s strong rally against the dollar has...
  8. D

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo. ===== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema...
  9. Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  10. Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

    Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea? Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
  11. Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli. Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
  12. Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  13. Tanoil (shirika la kuuza mafuta linapataje hasara?)

    Ndugu zangu mimi nimekaa Leo najitafakari. Nimetafakari sana mpaka kichwa kikataka kupasuka. Nilikua najiuliza maswali shirika letu la mafuta (TANOIL) limepataje hasara. Mbona wengine wana matenki mawili tu ya mafuta na wanapata faida biashara zao zinazidi kukua. Inauma sana...
  14. Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango...
  15. Wapi nitapata dagaa wa mwanza wa mafuta

    Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
  16. Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  17. Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

    Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
  18. Dkt. Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na gesi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
  19. TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  20. Angalizo: Mashine ya mafuta inapotoa hewa badala ya mafuta

    Wanajamvi habari za muda huu, Kituo kimoja cha mafuta huko nchi za wenzetu kimeshtukiwa tabia yake ya wizi wa mafuta katika kuwajazia watu mafuta kwenye gari ambao mashine ya mafuta inahesabu huku mafuta yanayoingia ni kidogo sana. Kuna kipindi Dar es Salaam hapa kulikuwa na mtingo kama huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…