Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie mnaotokea mjini hamna haki ya kutumia barabara.
Si muwe mnaamka mapema!? Mnakera kinoma!