Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi.
Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi ya magari Tazara jijini Dar es Salaam, ambako msululu wa magari umeanzia kwenye kituo hicho hadi...