Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu.
Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani.
Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
Za leo wakuu,
Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo.
Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia...
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida.
Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
Rais Bola Tinubu ameagiza mashirika yote ya serikali kununua magari yanayotumia gesi pekee kama sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kuhamisisha na kuhamia katika matumizi ya nishati safi na kupunguza gharama kubwa za mafuta.
Msemaji wa Rais amesema Rais Tinubu anatarajia idara zote za serikali na...
Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini?
Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.
Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.
Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!
Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda.
Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba.
Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu.
Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa amesema ndani ya muda huo jumla ya ajali 1,177 zilitokea huku 135 zikiwa za magari ya Serikali ambayo ni sawa na 11.5% kwa mwaka 2022
Takwimu hizo pia zinaonesha mwaka 2021 ajali zote zilizotokea zilikuwa 1,698 kati ya hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.