Wakuu,
Mabasi haya si mageni kwetu, baadhi yanabeba watoto wetu, wa jirani zetu na wengine watoto wetu ndio madereva kwenye magari haya, nina imani wote tutakubaliana kuwa magari haya hasa kwa hapa Dar ambako nimeshuhudia, mengi yanapumulia mashine, hayafai hata kidogo kutumiwa na na watoto...