Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake
Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua
Pamoja na hilo amesema...
Jiji la Mbeya na vitongoji vyake suala la usafi limekuwa ni changamoto sana.Takataka zimezagaa kila kona ya mitaa ya jiji hilo .
Wananchi wanatozwa pesa za taka na wanaambiwa taka hizo wazitoe majumbani zikiwa kwenye viroba kisha kuziweka barabarani kwaajili ya magari kubeba lakini matokeo yake...
Ninyi watu wa usafi huwa mnapita kwa mama ntilie kukagua apron kama wamevaa safi, lakini muwe mnatazama na maji wanayooshea vyombo, machafu hata bata hanywi.
Picha kutoka maktaba
Sasa twende katika hoja ya leo. Kwanini watu wa afya hamuwapi elimu na kuwasisitiza wale wanaopakia uchafu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.