Ninyi watu wa usafi huwa mnapita kwa mama ntilie kukagua apron kama wamevaa safi, lakini muwe mnatazama na maji wanayooshea vyombo, machafu hata bata hanywi.
Picha kutoka maktaba
Sasa twende katika hoja ya leo. Kwanini watu wa afya hamuwapi elimu na kuwasisitiza wale wanaopakia uchafu kwenye...