Habari wakuu!
Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota.
Kwa wale wajuvi wa mambo naomba mnieleze ni kwanini magari yao yanafanana na ni kwanini wanatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.